Mwanamuziki anaye fanya vizuri kunako gemu ya Bongo fleva Shaa kwa habari zilizoko ni kwamba yuko mbioni kuachia single yake mpya inayokwenda kwa jina la ''Lava Lava'' ambayo anatarajia kuachia  Audio na Video ijumaa hii ya tarehe 29 March mwaka huu.
Endelea kutembelea blog na uatapa nyimbo hiyo pamoja na Video hiyo kutoka kwake.
Facebook Blogger Plugin by Kishymba Media Group

Post a Comment

 
Top